NATIONAL WOMEN’S RESEARCH AND DOCUMENTATION CENTRE

NWRDC

DECREASING OF WOMEN'S VIOLENCE IN TANZANIA

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA, DK JINGU

WRDC LIBRARY
test try
SOURCE:NBS
SOURCE:NBS
WRDC LIBRARY test try SOURCE:NBS SOURCE:NBS

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Katika kuazimisha Siku ya Wanawake Duniani Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru kwa kushirikiana na Serikali ya Wanafunzi wametembelea kituo cha Upendo Leapers kilichopo Maji ya Chai jijini Arusha.

Kiongozi wa msafara alikuwa Kaimu Makamu Mkuu wa Taasisi Utawala na Fedha Bi. Janeth Zemba, Kiongozi wa Wanawake Bi. Rose Mtei na Makamu wa Raisi wa Serikali ya Wanafunzi TICD Bi. Winfrida Mahenye pamoja na baadhi ya wafanyakazi na wanafunzi.

Maandamano ya wanawake mbalimbali wa Wilaya ya Arumeru, kwenye maadhimisho ya wanawake yaliyoratibiwa na Kituo cha Kufanya Machapisho na Tafiti za MAswala ya Wanawake Tanzania (NWRDC)

Our Partners